WANACHAMA WA KBALU YA YANGA WACHAGUA VIONGOZI WAO LEO

 Mgombe uenyekiti wa Klabu ya Yanga Bw. Yusuf Manji kulia akiwa katika picha ya pamoja na mgombea wa Umakamu Mwenyekiti Bwa Clement Sanga kabla baada ya kuanza kupigwa kura katika uchaguzi huo unaofanyika mchana huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
Picha kwa hisani ya www.bongostaz.blogspot.com
 Saraha Ramadhan aliyeenguliwa, akiwa na mgombea Uenyekiti wa klabu hiyo  John Jambele mara baada ya kuanza zoezi la kupiga kura katika uchagzui huo.
Wanachama wa klabu ya Yanga wakiwa wamefurika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuchagua viongozi wao leo.

Comments