Skip to main content
Yussuf Mehoob Manji amekamilisha zoezi la
wagombea kujieleza katika kuomba kura kwa wanachama, na sasa zoezi la kupiga kura
linaanza ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. Hadi sasa upepo
unaonyesha ‘Jeshi la Miamvuli’ litapeta. Yussuf Manji (Mwenyekiti), Clement
Sanga (Makamu Mwenyekiti) na Wajumbe Mussa Katabaro, Lameck Nyambaya, Abdallah
Bin Kleb na George Manyama.
Comments
Post a Comment